-
Tanzania League of the blind has got sports and gears equipments to assist in sportsApril 6, 2015
-
-
TLB leaders visit to Toangoma Primary school to introduce "Let us play together Project"October 2, 2022
-
Kongamano la maadhimisho ya fimbo nyeupe Kitaifa mkoani Manyara - Tanzania. Mgeni rasmi ni Mh. Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa ManyaraOctober 19, 2022
-
Mwenyekiti wa TLB taifa akikabishi Scholarship za watoto wasioona wa Shinyanga SecondariNovember 3, 2022
-
Kukabidhi fimbo nyeupe kwa watoto wasiiona wa shule ya msingi mwenge.November 9, 2022
-
Wanafunzi 20 wasioona wa shule ya Toangoma wakabidhiwa fimbo nyeupe kutoka TLB leo Novemba 9 2022.November 9, 2022
-
Katibu Mkuu wa chama cha wasioona akizungumza na wanafunzi wasioona baada ya kuzindua mpira wa miguu kwa wasioona leo 24 Nov 2022November 24, 2022
-
TLB handing over 2 foFootballs for the students with visual impairement for Mugeza Mseto primaryschool in Bukoba Municipality, Kagera regionNovember 24, 2022
-
Kikao cha Hamashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Wasioona Tanzania kinafanyika Mjini Singida 17 hadi 18 Decemba 2022.December 18, 2022
-
Wakili Amendesi mwenyekiti wa tume huru ya uchakuguzi 2021 akikabidhi taarifa ya uchaguzi kwa kamati tendaji ya chama cha wasioona Tanzania ikiongozwa na Mh. Omary Mpondelwa Mwenyekiti wa TLB leo tarehe 18 Decemba 2022 mjini Singida.December 18, 2022
-
Mweka hazina wa TLB Zitta Batamanagwa akikagua kiwanja cha ujenzi wa soko la Kisopwa Wilayani kisarawe. Kulia kwake ni Afisa mipango miji wa kisarawe leo Machi 22 2023.March 22, 2023
-
TLB yasaidia ukarabati wa mashine za perkin ili kuboresha ujifunzaji wa Wanafunzi wasioona Lugalo Sekondari.April 24, 2023
-
Serikali imesema kuwa inatoa msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na ushuru wa forodha kwenye vifaa vilivyotengenezwa mahsusi kwa ajili ya Watu Wenye Mahitaji Maalum.April 28, 2023
-
TLB imefanya mkutano na ujumbe wa Pricewater coopers PwC leo Mei 3 katika Ofisi ya TLB makao makuu.May 3, 2023
-
Ugeni wa ubalozi wa ufaransa nchini umetembelea uongozi wa TLB makao makuu. Mei 4 2023.May 4, 2023
-
Disabilty Act Review Meeting going on at Floam Hotel in Morogoro Municipality . The session has been organized by SHIVYAWATA in collaboration with LHRC drawing all OPDs. The workshop starts today May 23 and ends tommorrow May 24, 2023May 23, 2023
-
Mafunzo ya usimamizi wa mradi na fedha kwa viongozi wa TLB wilayani kilwa baada ya kufikiwa na mradi wa elimu jumuishi unaohisaniwa na MyRight Sweden na kutekelezwa kwa ushirikiano na SRF na TLB Taifa hadi 2027. Mradi huu unatekelezwa katika Mikoa ya Lindi. Ruvuma. Manyara na KigomaJune 10, 2023
-
Kikao cha uzinduzi wa mradi wa Elimu Jumuishi wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma kinafanyika leo June 5 Katika ukumbi wa Halmashauri chini ya usimamizi wa Afisa Elimu Maalum na Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya. Sambamba na zoezi hilo wajumbe kutoka TLB Mkoa na Wilaya watapatiwa mafunzo ya uongozi wa fedha na miradi ili kuongeza ufanisi. Mafunzo hayo yanatolewa na TLB Makao Makuu chini ya ufadhili wa Myright Sweden na SRF.June 10, 2023
-
Mwenyekiti wa TLB wamtembelea mkurugenzi wa kitengo cha watu wenye ulemavu ofisi ya waziri mkuu ndugu Rashid Matfar ofisini kwake Jijini Dodoma 23 June 2023June 23, 2023
-
TLB in collaboration with TAS and ZANAB conducted a joint advocacy meeting with members of parliament for social committee to influence key amendments in the disability act to propote inclusive education, free health care, employment, administration and service delivry. The meeting was held on June 23rd 2023 at Rafiki Hotel in Dodoma.July 4, 2023
-
Advocacy training underway at TLB HQ in Dar es salaam under the faciliation of SKOA International LTD. Thanks to the French Embassy for Financing a two days training . The training is attended by 11 participants being 9 TLB leaders and 2 program staff members: Male 6 and Female 5.August 3, 2023
-
TLB Chairperson Mr. Omary Mpondelwa is addressing TLB leaders and Staff while closing the Advocacy Training held at TLB HQ in Dar es Salaam. Thanks to the French Embassy for Generous support to TLB.August 3, 2023
-
TLB yaendesha mafunzo ya Braille kwa walimu wataalamu na wasioona . Mafunzo haya yanafanyika kwa muda wa siku mbili Jijini Dar es Salaam kuanzia Sept 7 na 8 2023 katika Hotel ya Kagame. Mafunzo yanaendeshwa na wakufunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Taasisi ya Elimu Tanzania. Washiriki wanatoka shule ya sekondari Lugoba Mkoani Pwani na shule za msingi za. Mwenge, Uhuru Mchanganyiko na Toangoma za Mkoa wa Dar es Salaam.September 9, 2023
-