Serikali imesema kuwa inatoa msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) na ushuru wa forodha kwenye vifaa vilivyotengenezwa mahsusi kwa ajili ya Watu Wenye Mahitaji Maalum. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Mhe. Grace [...]
Mweka hazina wa TLB Zitta Batamanagwa akikagua kiwanja cha ujenzi wa soko la Kisopwa Wilayani kisarawe. Kulia kwake ni Afisa mipango miji wa kisarawe leo Machi 22 2023.
Wakili Amendesi mwenyekiti wa tume huru ya uchakuguzi 2021 akikabidhi taarifa ya uchaguzi kwa kamati tendaji ya chama cha wasioona Tanzania ikiongozwa na Mh. Omary Mpondelwa Mwenyekiti wa TLB leo tarehe 18 Decemba 2022 mjini Singida.
TLB handing over 2 footballs for the students with visual impairement for Mugeza Mseto primaryschool in Bukoba Municipality, Kagera region Mwl Iddrisa akipokea mipira kwa niaba ya shule
Katibu Mkuu wa chama cha Wasioona akizungumza na wanafunzi wasioona baada ya kuzindua mpira wa miguu kwa wasioona leo 24 Nov 2022 https://tlb.or.tz/wp-content/uploads/2022/11/WhatsApp-Video-2022-11-28-at-20.10.08.mp4