Kongamano la maadhimisho ya fimbo nyeupe Kitaifa mkoani Manyara – Tanzania. Mgeni rasmi ni Mh. Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa Manyara

Ufunguzi wa kongamano la maadhimisho ya fimbo nyeupe Kitaifa mkoani Manyara. Mgeni rasmi ni Mh. Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa Manyara leo 19 Oct 2022. KONGAMANO litadumu kwa siku mbili,  kabla ya kilele siku ya 21 Oct 2022.   Mada 7 zinajadiliwa ikiwemo uhai wa TLB ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watu [...]

Celebrate the presence of a white cane

Every 15th of October, the persons with visual impairment celebrate the presence of a white cane. In Tanzania, TLB has the mandate to organize the event. For this year it will take place on 21st of October 2021at Babati district at Manyara region. Join us so that you can be educated on issues of blindness, [...]