October 19 2022 0Comment

Kongamano la maadhimisho ya fimbo nyeupe Kitaifa mkoani Manyara – Tanzania. Mgeni rasmi ni Mh. Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa Manyara

Ufunguzi wa kongamano la maadhimisho ya fimbo nyeupe Kitaifa mkoani Manyara. Mgeni rasmi ni Mh. Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa Manyara leo 19 Oct 2022. KONGAMANO litadumu kwa siku mbili,  kabla ya kilele siku ya 21 Oct 2022.

 

Mada 7 zinajadiliwa ikiwemo

  • uhai wa TLB
  • ukatili wa kijinsia na
  • ukatili dhidi ya watu wasioona
  • Umuhimu wa matumizi ya TEHAMA kwa wasioona kwa maendeleo endelevu.

 

Mada nyingine zitawasilishwa na kujadiliwa siku ya pili. Nazo ni

  • Elimu changamoto ya kazi na ajira kwa watu wenye ulemavu.
  • Msaada wa kisheria kwa wasioona

Write a Reply or Comment