November 25 2023 0Comment

Kilele cha Fimbo Nyeupe Mkoani Njombe 2023. Maadhimisho ya 21; Mgeni rasmi alikuwa Mh. Waziri Prof Joyce Ndalichako (MB) Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu mwenye dhamana ya Watu wenye Ulemavu.