December 21 2023 0Comment

Ofisi ya Waziri Mkuu – KVAU leo imefanya kikao cha makabidhiano ya Ofisi kwa Viongozi wa Muda wa Chama cha Wasioona Tanzania-TLB ikiwa ni utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano Mkuu wa Mwaka 2023 wa Chama cha Wasioona Tanzania uliofanyika Mkoani Njombe.