Kikao cha uzinduzi wa mradi wa Elimu Jumuishi wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma kinafanyika leo June 5 Katika ukumbi wa Halmashauri chini ya usimamizi wa Afisa Elimu Maalum na Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya. Sambamba na zoezi hilo wajumbe kutoka TLB Mkoa na Wilaya watapatiwa mafunzo ya uongozi wa fedha na miradi ili kuongeza ufanisi. Mafunzo hayo yanatolewa na TLB Makao Makuu chini ya ufadhili wa Myright Sweden na SRF.
June
10
2023
0Comment
