Mafunzo ya usimamizi wa mradi na fedha kwa viongozi wa TLB wilayani kilwa baada ya kufikiwa na mradi wa elimu jumuishi unaohisaniwa na MyRight Sweden na kutekelezwa kwa ushirikiano na SRF na TLB Taifa hadi 2027. Mradi huu unatekelezwa katika Mikoa ya Lindi. Ruvuma. Manyara na Kigoma
June
10
2023
0Comment
