September 09 2023 0Comment

TLB yaendesha mafunzo ya Braille kwa walimu wataalamu na wasioona . Mafunzo haya yanafanyika kwa muda wa siku mbili Jijini Dar es Salaam kuanzia Sept 7 na 8 2023 katika Hotel ya Kagame. Mafunzo yanaendeshwa na wakufunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Taasisi ya Elimu Tanzania. Washiriki wanatoka shule ya sekondari Lugoba Mkoani Pwani na shule za msingi za. Mwenge, Uhuru Mchanganyiko na Toangoma za Mkoa wa Dar es Salaam.

Write a Reply or Comment