
Kongamano la maadhimisho ya fimbo nyeupe Kitaifa mkoani Manyara – Tanzania. Mgeni rasmi ni Mh. Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa Manyara
Ufunguzi wa kongamano la maadhimisho ya fimbo nyeupe Kitaifa mkoani Manyara. Mgeni rasmi ni Mh. Makongoro Nyerere Mkuu wa Mkoa wa Manyara leo 19 Oct 2022. KONGAMANO litadumu kwa siku mbili, kabla ya kilele siku ya 21 Oct 2022. Mada 7 zinajadiliwa ikiwemo uhai wa TLB ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watu [...]