Category: Uncategorized

TLB in collaboration with TAS and ZANAB conducted a joint advocacy meeting with members of parliament for social committee to influence key amendments in the disability act to propote inclusive education, free health care, employment, administration and service delivry. The meeting was held on June 23rd 2023 at Rafiki Hotel in Dodoma.

Kikao cha uzinduzi wa mradi wa Elimu Jumuishi wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma kinafanyika leo June 5 Katika ukumbi wa Halmashauri chini ya usimamizi wa Afisa Elimu Maalum na Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya. Sambamba na zoezi hilo wajumbe kutoka TLB Mkoa na Wilaya watapatiwa mafunzo ya uongozi wa fedha na miradi ili kuongeza ufanisi. Mafunzo hayo yanatolewa na TLB Makao Makuu chini ya ufadhili wa Myright Sweden na SRF.

Kikao cha uzinduzi wa mradi wa Elimu Jumuishi wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma kinafanyika leo June 5 Katika ukumbi wa Halmashauri chini ya usimamizi wa Afisa Elimu Maalum na Afisa Ustawi wa Jamii Wilaya. Sambamba na zoezi hilo wajumbe kutoka TLB Mkoa na Wilaya watapatiwa mafunzo ya uongozi wa fedha na miradi ili kuongeza [...]

Mafunzo ya usimamizi wa mradi na fedha kwa viongozi wa TLB wilayani kilwa baada ya kufikiwa na mradi wa elimu jumuishi unaohisaniwa na MyRight Sweden na kutekelezwa kwa ushirikiano na SRF na TLB Taifa hadi 2027. Mradi huu unatekelezwa katika Mikoa ya Lindi. Ruvuma. Manyara na Kigoma